Simba Yatupwa nje Kombe la Mataifa

Simba Yatupwa nje Kombe la Mataifa
Mpira umemalizika, Simba wanatupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports katika mchezo wake wa kwanza kwa mwaka wa pili mfululizo. FT: Simba SC 2-3 Mashujaa FC.

Mashujaa wamepata bao la tatu kupitia kwa Rajabu Athuman zikiwa zimeongezwa dakika 7 baada ya 90 kukamilika.

Kwa upande wa simba mabao yamefungwa na  Paul Bukaba tena

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad