Tazama Jinsi Paul Makonda Alivyomuombea Ruge Mutahaba Akiwa Jukwaani Fiesta

Waswahili wanasema burudani haina mwenyewe bhana, Ndio maana mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameshindwa kulala usingizi huku tamasha la Fiesta likiwa linaendelea tena mkoani kwake. RC Makonda ametinga katika viwanja vya Posta kushuhudia fainali za tamasha la Fiesta kwa mwaka huu wa 2018.

Baada ya kufika amepanda stejini kwa ajili ya kuwasalimia wana Dsm lakini akatumia nafasi hiyo pia kumuombea Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, ambaye kwa sasa ni mgonjwa Mungu aweze kumsaidia apone haraka.

Tazama VIDEO;

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad