Ushirikina: Mwanamke Mmoja Avalishwa Sanda Akiwa Hai

Ushirikina: Mwanamke Mmoja Avalishwa  Sanda Akiwa Hai
Dunia ina mambo! hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia sakata la mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la, Velda Munuo, mkazi wa Msigani jijini Dar Es salaam, ambaye amejikuta akivalishwa sanda huku akiwa hai.

Kwa mujibu wake amesema alivishwa sanda katika kipindi ambacho alikuwa akitafuta matibabu ya matatizo ya macho.

Tazama video hii mpaka mwisho uweze kuona jinsi ambavyo dunia imebeba mengi ya kushangaza na kustaajabisha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad