Mwanadada Irene Uwoya ambae hapo siku chache nyuma alidaiwa kumuweka wazi mpenzi wake mpya walipokua katikaka moja ya shughuli za kifamilia wikiendi iliyopita . Mwanadada huyo aliaoneknaha za pamoja ambazo hazikuwekwa katika akaunti ya irene mwenyew.
Kutokana na ukaribu wa irene na mwanaume huyo katika shughuli iyo na hata kupiga picha pamoja, picha zilianza kusambaa zikiwaonyesha wakiwa karibu na ndipo ilipoanza kusambaa kuwa huyo ndio mpenzi wake mpya.
Hata hivyo habari za chini ya kapeti zimevuja na kusema kuwa pamoja na kwamba kurasa za umbea zinasema kuwa huyo ndio mpenzi wake kwa sasa , lakini mwanaume huyo ni mume wa mtu.
Pamoja na kwamba ireen hajasema kitu kuhusu tetesi za kuwa na mpenzi mpya lakini wadau wa mambo tayari walitafuta maisha ya mwanaume huyo na kugundua kuwa mwanaume huyo ni mume wa mtu na ana familia yake tayari.
Irene amekuwa akifatiliwa kwa kila kitu anachokifanya kutokana na mahusiano yake yaliyopita kati yake na Dogo janja.