Vanessa Mdee Awatolea Povu TraceMziki, Adai Wanaupendeleo


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanessa Mdee ameamua kuweka wazi hisia zake na kukitolea uvivu kituo cha utoaji habari cha Trace Muziki kilichopo nchini Kenya.

Msanii huyo kupitia ukurasa wake wa Twitter amefunguka na kusema kwamba ” Wacha niseme tu, TraceMziki imekuwa station fulani ya upendeleo kwa wasanii kadhaa kwa muda mrefu sana.kuna ule upendeleo wa kuficha alafu kuna ile live bila chenga”


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad