VIDEO: Askofu Gwajima Ashusha Maombi Mazito Mbele ya JPM


Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 12, anatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa maji katika mto Rufiji.

Awali kabla ya kuanza kwa zoezi la utiaji saini, wakakaribishwa viongozi wa dini zote mbili kwa ajili ya dua ya kufungua hafla hiyo na miongoni mwao ni pamoja na Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ambaye ametumia dakika mbili kuliombea Taifa letu.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad