VIDEO: "Nimezoea Kufukuzwa Bungeni, Nitapambana Mpaka Kieleweke" Ester Bulaya




Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amesema kama Serikali haitasilikiza maoni na ushauri unaotolewa na wadau kuhusiana na sakata la mafao ya wastaafu atapamabana kuhakikisha anapeleka bungeni mswada binafsi ili wananchi wajue wanaotetea na wanaonyonga.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad