VIDEO: Shetta Afunguka Sakata la Nandy Kusainiwa na Diamond WCB


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shetta amefunguka mwanzo mwisho kuhusu sakata la Nandy kusainiwa na lebo kubwa ya muziki ya WCB kama ilivyosemekana mwanzo. Msanii huyo ambaye ndio Mkurugenzi wa taasisi ya King Empire ambayo tayari ina wasanii kadhaa akiwemo yeye Shetta, Nandy, Aslay, The Mafik na Ruby ingawa kwa sasa Ruby ametolewa kwenye lebo hiyo amesema haya kuhusu Nandy kujiunga na WCB kama Diamond alivyosema mwanzo kuwa Nandy anaipenda sana WCB:-

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad