Video: Wema Bado Tunaendelea Kumfuatilia na Kila Siku Anatuma Ripoti Kwetu- Bodi ya Filamu



Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo amefunguka kwa kusema kwamba bado wanamfutilia kwa ukaribu malkia wa filamu, Wema Sepetu licha ya kuendelea kutumikia adhabu ya kufungiwa kwa muda usiojilikana na bodi hiyo. Mama Fisoo amesema wamekuwa wakikutana mara kwa mara na maklia hiyo wa filamu ili kujua anaendeleaje kitabia.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad