Jaji Issa Maige wa Mahakama Kuu Arusha, amemuhukumu wakili Medium Mwalekwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh 200 milioni kutokana na kosa la utakatishaji fedha
Pia amemuhukumu kifungo cha miaka saba ambacho ameshakitumikia kutokana na makosa mengine.
Wakili Mwale na wenzake, Boniface Mwimbwa aliyekuwa meneja wa Benki ya CRDB tawi la Meru na Elias Ndejembi wanatuhumiwa kwa makosa 41 ikiwemo kughushi na utakatishaji fedha.