Wanandoa Wafariki Dunia kwa Ajali ya Helikopta, ni Gavana Mpya wa Mexico

Wanandoa Wafariki Dunia kwa Ajali ya Helikopta, ni Gavana Mpya wa Mexico
Gavana mpya wa jimbo la Puebla lililopo nchini Mexico, Martha Erica Alonso na mumewe Seneta Rafael Moreno Valle wamefariki dunia papo hapo baada ya helikopta waliyokuwa wanaiendesha kuanguka na kuungua muda mfupi baada ya kuruka.

Gavana huyo, Alonso aliapishwa mnamo Disemba 14 na kuwa gavana wa kwanza mwanamke kuongoza jimbo hilo.


Mume wake, Seneta Valle aliwahi kuliongoza jimbo hilo kati ya mwaka 2011 na 2017.

Hata hivyo kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa kiongoziwa usalama, Alfonso Durazo amesema kuwa tayari wameanza uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad