Wasafi Festival: Daimond Atua Sumbawanga na Ndege Apewa Mapokezi ya Aina Yake

Daimond Atua Sumbawanga na Ndege Apewa Mapokezi ya Aina Yake
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platniumz na crew yake ya kutoka Lebo ya Wasafi leo wamewasili mjini Sumbawanga kwa ajili ya Tamasha la Wasafi Festival linalotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi katika Uwanja wa Mandela mkoani humo.


Msanii huyo na kundi lake wametua Sumbawanga kwa ndege na kupata mapokezi ya aina yake ambapo barabara zote alizopita msanii huyo ilibidi zifungwe kwa muda mpaka alivyopita huku msafara huo ukisindikizwa na mashabiki hadi kwenye hoteli aliyofikia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad