Waziri Mbarawa Amtumbua Meneja wa DAWASCO, Mkoa wa Ubungo Mbele ya Wananchi

Waziri Mbarawa Amtumbua Meneja wa DAWASCO, Mkoa wa Ubungo Mbele ya Wananchi
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amemtumbua Meneja wa DAWASCO, Mkoa wa Ubungo Damson Mponjola kwa kushindwa kufika maeneo hayo kutatua kero za maji hadi yeye alipofika.

“Huyu lazima tumuondoe hapa, kwanini yeye hakuja hadi nije mimi, haiwezekani nitoke mjini DSM ama Dodoma kuja kujibu maswali haya, ujumbe ufike kote” -Waziri Mbarawa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad