Whozu afunguka kuhusu penzi lake na Tunda

Whozu afunguka kuhusu penzi lake na Tunda
Baada ya kusambaa kwa tetesi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na penzi jipya la Whozu na Tunda, Whozu amekanusha tetesi hizo na kusema kuwa yeye na Tunda ni washkaji na wanawasiliana.

Whozu ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na chombo kimoja cha habari na kusema kuwa anaomba watanzania na mashabiki zake waachane na skendo wasapoti mziki wake na waangalie anachokifanya.

'' Mimi nawaomba watanzania na mashabiki wangu waachane na Skendo wasapoti mziki wangu wasiamini skendo watu tu wametengeneza kitu kama kipo kipo kama avipo avipo " alisema Whozu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad