VIDEO: Romy Jones Afunguka Kuhusu ndoa ya Diamond na pia Tabia ya Tanasha “Mimi ndio Msaidizi wa Diamond”


DJ wa msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Pltnumz anayejulikana kwa jina la Romyjones, amefunuka mwanzo mwisho kuhusu ndoa ya Diamond na mchumba wake Tanasha.

Mbali na kuzungumzia hilo pia ameeleza kwanini yeye amekuwa msaidizi wa Diamond (Vice Presdant)

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad