Aika wa Navy Kenzo Apatwa na Majanga Mtandaoni


Muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Aika amejikuta kwenye wakati mgumu mara baada ya ukurasa wake wa Instagram kudukuliwa. 

Ukurasa wa muimbaji huo tayari ulikuwa umefikisha wafuasi (followers) Milioni 1.5 na machapisho zaidi ya 2,500. 

Utakumbuka mwishoni mwa mwaka jana ukurasa mrembo Zari The Bosslady wenye wafuasi Milioni 4 ulidukuliwa mara kadhaa, hata hivyo baadaye alifanikiwa kuurejesha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad