From @albertomsando - Kwa mfano. Nasema kwa mfano tu. Prof. Assad angesifia kwamba Bunge liko imara na sio dhaifu kama mawazo yake je Mh. Spika angemuita mbele ya Kamati ya Maadili? Absurdity. Kwamba CAG kakosea kusema alichokisema mpaka Mh. Spika ameamua kumwambie aende kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?
Nakumbuka hadithi mtu anakwambia wewe mlevi halafu unatoka povu mimi sio mlevi ngoja nikanywe mzinga wa Konyagi utanijua mimi ni nani
. Lets get serious. This is a joke. A serious bad joke. #TheDon.