Alikiba na Sauti Sol wamvutia prodyuza wa Nigeria


Producer wa muziki kutokea nchini Nigeria E Kelly amesema kuwa anamatamanio zaidi ya kufanya kazi na wasanii wa Afrika Mashariki.

Kelly amewataja AliKiba toka Tanzania na kundi la muziki kutokea nchini Kenya, Sauti Soul  kuwa angependa kufanya nao kazi.

“Nina tazamia kufanya kazi na AliKiba na Sauti Soul, ndio Sauti Soul, nadhani tutafanya maajabu,” amesema.

Ameongeza kuwa kufanya kazi na Vee Money  kumemuongezea wigo wa kufahamika zaidi kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na amewashukuru wa Tanzania kwa kumpokea. Nyimbo za Vanessa Mdee alizofanya ni kama Kisela na Bambino.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad