Amini Afunguka Kuhusu Kurudiana na Linah "Mapenzi ni kikohozi"

Amini Afunguka Kuhusu Kurudiana na Linah "Mapenzi ni kikohozi"
Unalikumbuka lile penzi zito la Amini na Linah?. Habari nyepesi nyepesi ni kwamba kwa sasa wawili hao wanapasha viporo.


Kwa sasa mrembo huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, ameonekana kuwa karibu na muimbaji huyo wa wimbo, ‘Nisahaulishe’ na anaenda mbali zaidi kwa kujirekodi vipande vya video vinavyohashilia ni meseji za mahaba mazito.

Bongoa5 limtafuta Amini na kuzungumza naye kuhusiana na tetesi hizo na baada ya kuulizwa suala hilo alisema “Mapenzi ni kikohozi kama ni kweli mtaona kila kitu” alisema Amini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad