Ankoo zumo afunguka, 'alijua kuwa nimefumaniwa'

Ankoo zumo afunguka, 'alijua kuwa nimefumaniwa'
Mchekeshaji maarufu mtandaoni, Ankoo Zumo amesema kuwa suala la uchekeshaji ni jambo la kawaidia kwenye familia yao.

Kwenye mahojiano na kipindi cha Leo Tena, Clouds FM amesema kuwa kutokana na uchekeshaji wake wamewahi kukutana na kisa cha kuhisiwa kuwa amefuamaniwa.

"Kwenye familia yetu huwa tunachekeshana sana wenyewe kwa wenyewe, hasa tunapokutana kwenye shehere huko nyumbani kwetu," amesema.

Ankoo zumo ameendelea kwa kueleza, 'kuna siku niliposti kichekesho nilikuwa naogeshwa kwenye beseni kuna rafiki yangu alikiona alijua kuwa labda nimefumaniwa nikamwambia kilikuwa ni kichekesho akaniambia ninajua sana kuchekesha,'.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad