ARISTOTE Afunguka MASTAA Watano Wanaovaa NYWELE za Gharama Bongo

Aristoste ambaye jina lake limekuwa maarufu mtandaoni kutokana na style yake ya kuwauzia nywele watu maarufu, ameitaja list ya mastaa wanaovaa nywele za gharama Bongo ambapo kati ya hao amemtaja Irene Uwoya kuwa anaongoza kwa kuvaa nywele mara moja na kutokuirudia tena.

Bonyeza PLAY hapa chini kuijua list ya mastaa hao watano.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Loo oh! Huyu Bwana Aristotle bila hata haya anajisifia anavyowauzia watanzania nywele za bandia zilizokwisha tumiwa na Irene uwoya. Kiafya hiyo ni marufuku. Mheshimiwa Umy Mwalimu tafadhali mshughulikie huyu ni adui wa afya ya jamii ya Tanzania. Piga marufuku kuuzia watu vipodozi bila training na toa elimu kwa umna juu ya hilo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad