Bi. Hindu Ampa Somo Diamond Amtaka Kuiga Mfano wa Alikiba kwenye Kuoa

Bi. Hindu Ampa Somo Diamond Amtaka Kuiga Mfano wa Alikiba kwenye Kuoa
Moja ya watnagzaji na wasanii wakongwe katika snaa Bi hindu amefunguka na kuwafunda wasanii huku akimtaka msanii Daimond platinumz kufanya uamuzi wa kuoa kwa sasa kwa sababu umri wake umeenda na anazidi kuongeza watoto.

Bi hindu amemtaka Diamond kuiga mfano wa msanii mwenzake Alikiba mabe aliamua kuoa kimya kimya baada ya kuona kuwa muda wake wa kuoa umefika na ndoa yake imekuwa ya heshima sana.

Bi hindu pia nasema kuwa kwa umri wake kwa sasa angeacha taba yake ya kuimba nyimoz za matusi kwa sababu pa ya jina lake ambalo lmekuwa kubwa na kutunza heshima yake, maneno haya yanakuja  baada ya mfululizo wa matukioa ya adhabu na pia kufungiwa kwa msanii huyo kutokana na utovu wa nidhamu katika nyimbo anazotunga.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad