Breaking News: Alshabaab Wakiri Kuhusika na Shambulizi la Leo Kenya


UPDATES: 
Msemaji wa kundi la kigaidi la al-Shabab ameipigia BBC simu na kudai kwamba kundi hilo limehusika "katika operesheni ambayo bado inaendelea Nairobi".

Msemaji huyo hajatoa maelezo zaidi, lakini amesema kundi hilo litatoa maelezo zaidi punde operesheni yao ikikamilika.

Wametoa maelezo zaidi na kusema "watu wetu waliingia ndani na bado wako ndani ya majengo muhimu mtaa wa Westlands, Nairobi." 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad