Breaking: Tido Mhando aachiwa huru na mahakama

Tido Mhando aachiwa huru na mahakama
HABARI Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) Tido Mhando ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kutomkuta na hatia dhidi ya makosa 5 aliyoshtakiwa ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha hasara ya zaidi shilingi mil 800.


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) Tido
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad