Chidi Benz 'Natamani Diamond Platnumz Awe na Mwanamke Ambaye Watu Hawamjui'


Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Chidi Benz ametoa neno baada ya kusema Diamond anaoa.

Chidi Benz amempa hongera Diamond huku akimpa ushauri kuwa anatamani msanii huyo aoe msichana ambaye watu hawamfahamu.

"Safi hongera yake na mtoto wa Kiislam yule anatakiwa kuoa  lakini simfahamu vizuri yule binti sijawahi kujua kuhusu binti natamani Naseeb awe mtoto mmoja ambaye watu wengi hawamjui," alisema Chidi Wasafi TV
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad