Clouds wapiga wimbo wa Mbosso kutoka wasafi


"Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa Moja

"Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha Kipindi cha jahazi mida ya saa10 iliyonifanya nijiulize maswali,Hawa Clouds Si hawachezi ngoma za pale WCB zote pamoja na Collabo zao,iweje wacheze nyimbo ya Mbosso au bifu ndo limeisha?

WameichezaHodari tena wanaisifia kabisa kina Kibonde!!!Hii imekaaje wadau?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad