Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo January 8 2018 amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza mipamgo mbalimbali itakayofanyika katika Mkoa wa DSM.
“Mpango wa Serikali ya Mkoa ni kuhakikisha kwamba DSM inakua ni ya usiku na mchana, hautazidi mwezi wa pili kutakua na tamko rasmi la kuhakikisha DSM ni ya usiku na mchana” –RC Makonda
”Dar es salaam itakuwa ya usiku na mchana” Paul Makonda
1
January 08, 2019
Tags
Taa za barabarani je?
ReplyDelete