Dau la Billion 38.6 Zatengwa kwaajili ya Kumsajili Samatta

Dau la Billion 38.6 Zatengwa kwaajili ya Kumsajili Samatta
Klabu ya Cardiff City inayocheza Ligi Kuu nchini Uingereza imetenga dau la TSh. Bilioni 38.6 ili
kumsajili mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta.

Mshabuliaji huyo wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26 anayeongeza orodha ya wafugaji bora kwa msimu wa 2018/19 akiwa na magoli 15 katika michezo 18 aliyoanza.

Wakati huo huo Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amegusia hilo. Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika; 'Hii kitu kama ni kweli Mola amsaidie yailah Mbwana'.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad