Davido akimjibu moja ya mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, amesema kuwa hakuwepo kipindi hicho lakini inavyoonekana tu kwenye video R. Kelly anaonekana alifanya vitendo hivyo.
Aliulizwa hivi na shabiki huyo “unadhani ni kweli R. Kelly amefanya uchafu huu (unyannyasaji kingono) unaozungumzwa?” na Davido naye akajibu “Sikuwepo, lakini inavyoonekana tu jamaa anaonekana alifanya”
I wasn’t there ... but looks like he did https://t.co/hanJCBQiqW— Davido (@iam_Davido) January 9, 2019