Dawa ya Prep Inayodaiwa Kuzuia Maambukizi ya Ukimwi Kuanza Kusambazwa Bure


Dawa hii ikitumika kila siku inaweza kupunguza uwezekano wa maambukizi ya UKIMWI kwa njia ya ngono kwa 90%

Serikali ya Chile imeamua kuzinunua na kuzisambaza bure dawa hizo ikiwa ni kampeni ya kupambaba na ugonjwa huo

Chile ni moja ya nchi 10 ulimwenguni ambako maambukizi ya VVU yaliongezeka kwa zaidi ya 50%

Kwa sasa dawa ya PrEP ya kutumia mwezi mmoja inauzwa kati ya Dola za Marekani 575 hadi 645

Kampuni ya kuuza dawa ya Gilead ilianza kuuza dawa hizo mwaka 2012 chini ya nembo ya Truvada.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad