Diamond aibua jipya kuhusu video za wasanii

Diamond aibua jipya kuhusu video za wasanii
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameeleza ni kwanini wasanii wake wengi kwa sasa hawaendi kutengeneza video za nyimbo zao nje ya nchi.

Ni baada ya hivi karibuni kuonekana video nyingi wanafanyia nchini ukilinganisha na hapo awali wapokuwa wakisafiri hadi Afrika Kusini.

"Hatukufata location bali vifaa na technology zao ila kwa sasa tumenunua wenyewe, na kufungua production yetu wenyewe," amesema Diamond.

Ameendelea kwa kueleza kuwa, 'Na ndio maana tuna uwezo wa kushuti popote, na ndio maana halisi ya mapinduzi ya burudani'.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad