Diamond PLATNUMZ Atoa Mpya..Aiomba Serikali Kutangaza 'Holiday' Akimuoa Tanasha


Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz amefunguka sababu za kupeleka mbele siku ya kumuoa mpenzi wake kutoka nchini Kenya.

Diamond katika siku yake ya kuoa ameiomba serikali imfanyie mpango iwe holiday kwasababu anataka siku yake hiyo iwe kubwa.

"Nilipeleka mbele siku kwasababu mzazi wa Natasha asingeweza kufika Valentine kwasababu anafanya kazi Belgium na likizo ilikuwa haipo hapo ukiacha hivyo sitaki harusi yangu iwe ndogo niichukulie poa poa tu, harusi yangu ikiwezekana hata serikali inifanyie mpango iwe holiday," alisema Diamond kwenye mahojiano yake na Mtanzania Digital.

Diamond wiki kadhaa alimpeleka mpenzi wake huyo nyumbano kwao kwenda kumtambulisha kwa familia yake.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jinga hilo domo kama mfuniko wa cesspit

    ReplyDelete
  2. Hongera Domo...!!!
    UTOKE TANDALE...!!
    Upinge kauli mbiu ya Raisi wetu.
    Hapa kazi tu wewe ulete Holiday
    Wewe vipi??? wa wapi??
    nakuomba harusi yako umsaidie RCwetu Makonda kusafisha Jiji la Biashara...

    HAPPA KAZI TU WASAFI TUSAFISHE JIJI

    ReplyDelete
  3. Salaam na Tale...
    Huyu Dogo vipi?
    Naona kama anapooteza netiwaki..!!

    Au Zali na mchanganyikko effect

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad