Web

EXCLUSIVE: “Mchumba Mpya Anamlea Dogo Janja, Tajiri wa Uwoya Atanifunga, Ndoa ilikuwa Kivuli”

Top Post Ad


Mwigizaji Mwijaku amezungumza kuhusu kile kinachoendelea mitandaoni kati ya Irene Uwoya na Dogo Janja ikiwemo uvumi wawili hao kuachana na kila mmoja yupo na penzi jipya, Mwijaku amedai kuwa ndoa ya Uwoya na Dogo Janja ilikuwa kivuli ila yupo tajiri mmoja anayemuweka mjini Uwoya.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.