Gadner Akumbuka Bata Alizokula na Jay dee Ampost Instagram

Gadner Akumbuka Bata Alizokula na Jdee Ampost Instagram
Mtangazaji wa Clouds Media ,gadner ameweka picha katika ukurasa wake wa instagram akiwa na mwanadada jay dee ambae alikuwa mke wake miaka kadhaa nyuma na kisha kupeana talaka.

Gadner amefanya hivyo kama kutimiza zoezi linaloendelea wa sasa katika mitandao ya kijamii linalohusiana na kuonyesha picha za zamani , ambapo kwa upande wa mtangazji huyo aliona sio mbaya kuweka picha hiyo na mkewe wa zamani.

Hata hivyo picha hiyo ilishangaza watu kidogo kwa sababau wawili hao zilikuwa haziivi ivyo kuwekwa kwa picha hiyo imeleta taswira kuwa wawili hao wanaweza kuwa wamemaliza tofauti zao.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad