Habari NJEMA Ben pol Akubalika Ukweni KENYA, Ndoa Yaanza Kunukia


Msanii kutoka nchi Tanzania Ben pol ameamua kuthibitisha mahusinao yao baada ya kuamua kwenda ukweni kwa ajili ya kufanya utambulisho na mpeniz wake anaejulikana kama anerlisa huku nchini uganda,

Msanii huyo ambae aliingia katika mahusiano ya kimapezi na mwanamke huyo siku si nyingi zilizopita wameamua kuhararisha mahusiano hayo na kuamua kujitambulisha kwa wazazi hatua ambayo inaleta msukumo wa ndoa.

Ben pol atakuwa mwanamuziki wa kiume anaeongeza idadi ya wasanii wanaokwenda kuoa nje ya nchi na kuacha wasichana wa kitanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad