Haji Manara Avipongeza Vyombo ya Habari Kwa Kumtoa nje ya Reli Kocha wa JS Saoura Mpaka Akalia

Baada ya kocha wa klabu ya JS Saoura, Nabil Neghiz kulalamikia vyombo vya habari vya hapa nchini kumnukuu vibaya kwa kudai anaiogopa Simba kabla ya mchezo wao wa klabu bingwa Afrika, Haji Manara ametangaza kufurahishwa na hatua hiyo ya vyombo hivyo huku akisema jambo hilo ni lakiuzalendo kutokana na kuchangia kuwachangaja wapinzani wao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad