Hatimaye Lulu Afanikiwa Kuuza Nguo Make kwa Mashabiki

Hatimaye be Lulu Afanikiwa Kuuza Nguo Make kwa Mashabiki
Msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael, Lulu leo amegawa nguo kwa mashabiki wake ambao
walitolea kununua.

Utakumbuka Lulu alijitolea kuuza baadhi ya nguo zake na pesa yote itakayopatikana kupitia mauzo
haya itaenda kusaidia vitu na Watu Wenye uhitaji katika jamii.

Mashabiki wa Lulu leo wamekutana leo Sinza katika duka la Jaim Store ambapo ndipo wamepatiwa nguo zao. Pia Lulu amefanya hivyo katika kuelekea msimo wa wapendana nao (Vallentine Day).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad