Hatimaye Simba SC warejea nchini kimya kimya

Hatimaye Simba SC warejea nchini kimya kimya
Hatimaye wekundu wa Msimbazi, simba SC wamerejea nchini wakitokea DR Congo walipomenyana na AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabigwa Afrika.

Kikosi cha Simba SC kimetua mapema asubihi ya leo uwanja wa Ndege Kimataifa wa Mw. Julius Nyerere Dar es Salaam.

Simba SC wanarejea kimya kimya bila kishindo kufuatia kuambulia kipigo kizito cha goli 5-0
kutoka kwa AS Vita. Kwa matokea hayo hadi sasa Simba SC wanasalia na pointi zao tatu walizozipata kwenye mchezo wao wa mwanzo dhidi ya JS Saoura kutoka Algeria.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad