Hatimaye Uwoya Naye amuanika Mpenzi Wake Mpya

Hatimaye Uwoya Naye amuanika Mpenzi Wake Mpya
Msanii wa filamu bongo anayetikisa kwa kula bata zaidi, Irene Uwoya, ameweka wazi juu ya mahusiano yake mapya aliyonayo, baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe Dogo Janja.

Akizungumza kwenye sherehe za uzinduzi wa foundation ya msemaji wa Simba Haji Manara,  Irene Uwoya amesema kwamba ni kweli kwa sasa yupo kwenye mahusiano, na mpenzi wake huyo ni mfanyabiashara.

“Ofcourse nipo kwenye mahusiano, yeye ni mfanyabiashara ila siwezi kuwatajia jina”, amesema Irene Uwoya.

Irene Uwoya kwa muda mrefu amekuwa akihisiwa kuwa kwenye mahusiano na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa bongo, na kuaminiwa kuwa ndiye anayewezesha bata zote za msanii huyo, ingawa mwenyewe alikuwa anaficha ukweli wa jambo hilo.



TOP STORIES
SPORT
“Shughuli ya Lechantre imekwisha”-Manara
SPORT
Ngoma ashindwa kuichezea Azam, Kagame
CURRENT AFFAIRS
Amuua mke mwenza na kumzika shambani
CURRENT AFFAIRS
Mbunge wa CHADEMA, ajiuzulu na kujiunga CCM



MOST POPULAR
CURRENT AFFAIRS
Askari wa JWTZ afariki akijiokoa kubakwa na fundi
CURRENT AFFAIRS
Serikali kupunguza Walimu
CURRENT AFFAIRS
Magufuli kafuata nyayo za Gaddafi
SPORT
Simba yafanya mabadiliko ya benchi
ENTERTAINMENT
Sababu ya video ya Bilnass na Roma kutumia watoto
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad