Hii Hapa Ndio Picha yenye Likes Nyingi Kuliko Zote Toka Instagram Ianzishwe


Je wajua picha inayoshikilia rekodi ya kupendwa zaidi katika mtandao wa Instagram?

Yai
Picha hii ilichapishwa tarehe 4 Januari na kufikia wakati wa kuchapisha habari hii, yai limevutia “likes” milioni 24.45m.
Kabla yai hili picha iliyokuwa maarufu zaidi ilikuwa ya Kylie Jenner (Milioni 18 ) alipokuwa akitangaza kuzaliwa kwa mwanawe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad