INASIKITISHA..Mtoto Mchanga Ang'atwa na Panya na Kufariki Dunia

January 25, 2019 Mtoto Ibrahim Joseph mwenye umri wa miezi minne amefariki dunia baada ya kung’atwa na panya kwenye mguu na mkono wake wa kushoto usiku akiwa amelala.

Mama mzazi wa Ibrahim ambaye ni Veronica Haule amesema panya hao wamekuwa wakila baadhi ya mazao na vitu vilivyomo nyumbani kwake lakini alishangaa usiku wa kuamkia jana  kukuta Mtoto wake amefariki huku akiwa ameliwa na panya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad