Jini Mkatakamba Apitia Penzi la Ray na Chuchu Hans Wadaiwa Kumwagana

Jini Mkatakamba Apitia Penzi la Ray na Chuchu Hans Wadaiwa Kumwagana
Wazazi wawili ambao hivi karibuni tu walikuwa wkaisherekea miaka miwili ya kuzaliwa kwa kilichokuwa kikiwaunganisha , Ray na Chuchu hans  wanasemekana kuwa wameachana na kwamba kwa sasa kila mmoja amekuwa na hamisini zake na maisha yake huku ikiwa haijjajulikana mpaka sasa mtoto ni mali ya  nani.

Wawili hao walitrend sana katika mitandao , ukiachana na kufaya kazi pamoja lakini pia kutokana na kuwa na ushirikiano mkubwa katika kazi , malezi na hata mapenzi wanasemwa kuachana huku chanzo cha mfarakano wao ukiwa bado haujajulikana mpaka sasa.


Hata hivyo wawili hao bado wanatafutwa kwa udi na uvumba ili kuthibitisha taarifa hizo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad