Kenya Wataka Rais Kama Magufuli wadai Rutto Anazuiwa na Katiba kugombea Urais Anapaswa Kustaafu..


Makamu wa mwenyekiti wa Jubiler amesema anakwenda mahakamani kupinga Naibu Rais Rutto kugombea nafadi ya Rais katika uchaguzi ujao kwani ni kinyume cha sheria na katiba.

Makamu huyo wa mwenyekiti amesema ni vema Kenya ikapata Rais katika utaratibu huru na wa haki kama ilivyokuwa Tanzania ambako wagombea wote wa chama tawala walikuwa sawa na hakuna aliyebebwa na mbeleko.

Amedai kuwa kwa mujibu wa katiba Naibu wa Rais anayehufumu kwa vipindi viwili mfululizo anatakiwa kustaafu na Rais. so Rutto ni lazima astaafu na Uhuru.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad