Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester City, Yaya Toure Agoma Kustaafu Soka
0Udaku SpecialJanuary 15, 2019
Top Post Ad
Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester City, Yaya Toure, (35) amesema kuwa bado ana muda wa kuendelea kucheza soka angalau kwa miaka miwili au zaidi ndipo afikirie kustaafu kucheza soka, kwa sasa Toure hana timu baada ya klabu ya Olympiocos kusitisha mkataba wake.