Kufungia Nyimbo Kwawaingiza Matatani BASATA.
1
January 10, 2019
Baraza la sanaa Tanzania limefunguka na kusema kuwa kitendo cha wao kuamua kuwawajibisha wasanii kwa kuwafungia nyimbo ambazo zimekuwa hazina maadili limekuwa baya baada ya wao kuingia matatani kwa kipindi kirefu sasa tangu wameanza zoezi hilo.
Mh Godfrey Muingereza anasema kuwa kwa mwaka 2019 wanahaidi kufanya vizuri zaidi hasa katika kuwaweka wasanii katika mstari ulionyooka kwa kufuata katiba na sheria za baraza hilo ingawa kumekuwa na cgangamoto mablimbali .
Kiongozi huyo anasema kuwa wamekuwa na wakatI mgumu sana hasa wanapoanza kutishiwa maisha, kukatwa mapanga na hata kumwagiwa tindikali wakati nia yao ni kuwawea wasanii katika mstari sawa ili kulinda na kukuza muziki na tamaduni pia.
Ikumbukwe kuwa , BASATA wamekuwa mstari wa mbele kukemea kitu chochote kinachohusu sanaa mbacho kinaweza kukiuka maadili na kupotosha jamii kupitia sanaa.
Tags
Kwa nini kusiwe na sheria maalum ambayo kama imekiukwa basi ichukue mkondo wake badala ya kuingoza kwa hisia ambazo ndo pengine chanzo cha conflict Kati ya Basata na wasanii na hata baadhi ya wananchi. Mbona kuna wanasheria katika wizara hiyo kwanini msishirikiane kuifanya wiraza hiyo more organized? Nia yenu njema lakini the way mnavyopotray ni rahisi kwa anaye wa observe kuamini kwamba mna endesha kazi kwa kufuata assumption kitu ambacho hakitegemewi kufanywa na chombo kukubwa kama wizara!
ReplyDelete