Lavalava Afunguka ishu ya Kushikwa Sehemu za Siri Kwenye Show Kenya


Msanii wa muziki kutoka lebo ya WCB, Lavalava amefunguka sababu za kushikwa sehemu za siri katika Tamasha la Wasafi Festival lililofanyika nchini Kenya.

Lavalava amesema kuwa hajaona jambo geni kwasababu msanii wa Nigeria, Davido alishafanyiwa tukio kama hilo.

"Sijaona jambo geni sana kwasababu wakina Davido walishafanyiwa baadhi ya matukio,  kitu ambacho kimenistaajabisha kwenye lile tukio moja ya wasichana ambao walinishika sehemu zangu za siri nimesikia ameachwa na BoyFriend wake, imekuwa kama story kubwa kule Kenya lakini ile imaonyesha ni jinsi gani tunapokelewa vizuri hata nchi za jirani," Lavalava ameiambia Wasafi Tv.

Lavalava kwasasa anatamba na kibao cha wimbo wake unaoitwa 'Niuwe'

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad