Lebo Inayomsimamia R Kelly Yamchukulia Maamuzi Magumu

Lebo Inayomsimamia R Kelly Yamchukulia Maamuzi Magumu
Lebo ya RCA/Sony inayosimamia kazi za msanii R.Kelly imeungana na harakati ambazo zinataka kazi za msanii huyo kusimamishwa kwa muda.



Lebo  hiyo imechukua maamuzi hayo kutokana mambo yanayomkabili,  ya kashfa ya unyanyasaji wa kingono na kwamba haitatoa muziki wowote wa R.Kelly kwa muda mpaka uchunguzi unaofanywa utakapokamilika.



Mkataba wa R.Kelly na lebo yake umebakiza albam mbili tu umalizike.  Hata hivyo,   kampuni hiyo imesema jambo hilo litashughulikiwa kwa njia moja ama nyingine ili limalizike.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad