Mtengenezaji wa cheni hiyo ameiweka katika akaunti yake ya instagram na kuandika ni oda ya Lil Wayne ambayo ni zawadi kwa rapa wake, Drake.
Pindi Weezy alipomsaini Drake kwenye lebo ya ‘Young Money’, wawili hao walionekana kuwa na ukaribu mkubwa sana tofauti na ukaribu wa kibiashara.
Vilevile ikumbukwe kwamba Julai 25, 2017 Drake alionyesha tattoo ya Lil Wayne aliyomchora kwenye mkono wa kushoto chini ya bega.
Haijafahamika bado zawadi hiyo imegharimu kiasi.