Mahakama ya ICC yamuachilia Aliyekuwa Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo

Mahakama ya ICC yamuachilia Aliyekuwa Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo
Mahakama ya kimataifa ya ICC imemuachilia huru aliyekuwa rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo.

Alishtakiwa na makosa ya uhalifu dhidi ya binaadamu kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi zilizowaacha takriban watu 3000 wakiwa wameuawa huku watu 500,000 wakiwachwa bila makao katika uchaguzi uliozongwa na utata wa 2010.

Bwana Gbagbo alikamatwa 2011 katika eneo la kujifichia la Ikulu ya rais na wanajeshi wa UN pamoja na wale wanaoungwa mkono na Ufaransa waliokuwa wakimuunga mkono mpianzani wake AlassaneOuattara.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad