Majambazi 8 waua Mwanza, wawili watoroka

Majambazi 8 waua Mwanza, wawili watoroka
Watu nane wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa usiku wa kuamkia leo katika kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza kwenye majibizano ya risasi na Jeshi la polisi.

"Kikosi jasiri kimepambana ana kwa ana na majambazi yapatayo 10, katika mapambano hayo katika eneo la kwanza walifanikiwa kuua majambazi watano, waliwapekuwa na kuwakuta na silaa na mali walizopora," amesema Kamanda Mkoa wa Mwanza, Janathan Shana.

Ameendelea kwa kusema katika tukio lingine ambapo walipatiwa taarifa na dereva bodaboda walifanikiwa kuwaua majambazi watu na wawili walifanikiwa kukimbia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad